Ukiniuliza Nani Mchezaji Bora Wa Epl mpaka Sasa Kwa kujiamini nitakujibu martin Odergard Kwa nini..??
Bwana Mdogo Anatupa kitu Sana arsenal hasa like Eneo la Mbele Odergard analitumia Vizuri Eneo la half space.
Martin Odergard Anafanya vitu vingu Sana Akiwa Kwenye half space Anakuwa na chaguzi Nyingi za kupiga Pasi.
Kwa winga Wa pembeni Saka na Martinell
Katikati Kwa washambuliaji
Ndani Kwa Viungo
Kutafuta na Kuongeza Nafasi Katika mashambulizi.
Pia Huwa Anakwenda pembeni Kwa full back na winga Kuongeza idadi ya wachezaj (creating overloads)
pia huwa ana Uwezo Mzuri wa kushambulia chaneli Iliyopo Katikati ya beki Wa Kati na full back wa timu Pinzani.
Martin Odergard Is A Baller.
Karibu Mwaka 2023