Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa.

Baada Ya mechi ya Club Africain, Mashabiki Walisema hatumtaki Nabi, Aondoke kabla ya mechi ya Marudiano, Baada Ya Mechi Ya marudiano wakaanza kumuimba.

Washabiki waliulaumu uongozi baada ya Fei kuondoka KIHUNI ila baada ya kesi kuzungumzwa na hukumu kutoka wakawageukia na kuanza kuwasifia.

Aliyetoa jina UTOPOLO ni Shabiki mzuri sana wa Yanga ila HISIA hasi zilimzidi akatubariki jina ambalo kwakweli tumejaribu kuliondoa ila tumeshindwa ndo imekuwa fimbo yetu.

Leo wanaonekana kubandua maandishi ya mdhamini wao mkubwa kifuani hizi nazo ni hisia kama mashbiki wa club

kwa Mantiki Hiyo basi Unaweza kuona ni namna gani washabiki hawapendi kupangiwa chakufanya, Wanaachaga hisia ziwapeleke na sio kujali lingine toka kwa mtu.

1675345022900.png