Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa.

Baada Ya mechi ya Club Africain, Mashabiki Walisema hatumtaki Nabi, Aondoke kabla ya mechi ya Marudiano, Baada Ya Mechi Ya marudiano wakaanza kumuimba.

Washabiki waliulaumu uongozi baada ya Fei kuondoka KIHUNI ila baada ya kesi kuzungumzwa na hukumu kutoka wakawageukia na kuanza kuwasifia.

Aliyetoa jina UTOPOLO ni Shabiki mzuri sana wa Yanga ila HISIA hasi zilimzidi akatubariki jina ambalo kwakweli tumejaribu kuliondoa ila tumeshindwa ndo imekuwa fimbo yetu.

Leo wanaonekana kubandua maandishi ya mdhamini wao mkubwa kifuani hizi nazo ni hisia kama mashbiki wa club

kwa Mantiki Hiyo basi Unaweza kuona ni namna gani washabiki hawapendi kupangiwa chakufanya, Wanaachaga hisia ziwapeleke na sio kujali lingine toka kwa mtu.

[ATTACH=full]1147[/ATTACH]

[QUOTE="McRay, post: 3173, member: 468"] Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa. Baada Ya mechi ya Club Africain, Mashabiki Walisema hatumtaki Nabi, Aondoke kabla ya mechi ya Marudiano, Baada Ya Mechi Ya marudiano wakaanza kumuimba. Washabiki waliulaumu uongozi baada ya Fei kuondoka KIHUNI ila baada ya kesi kuzungumzwa na hukumu kutoka wakawageukia na kuanza kuwasifia. Aliyetoa jina UTOPOLO ni Shabiki mzuri sana wa Yanga ila HISIA hasi zilimzidi akatubariki jina ambalo kwakweli tumejaribu kuliondoa ila tumeshindwa ndo imekuwa fimbo yetu. Leo wanaonekana kubandua maandishi ya mdhamini wao mkubwa kifuani hizi nazo ni hisia kama mashbiki wa club kwa Mantiki Hiyo basi Unaweza kuona ni namna gani washabiki hawapendi kupangiwa chakufanya, Wanaachaga hisia ziwapeleke na sio kujali lingine toka kwa mtu. [ATTACH type="full"]1147[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mashabiki ni watu wasiotaka kupangiwa
Top
Bottom