Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA.

Mashabiki wa Klabu ya Real Madrid wameanzisha kampeni ya Klabu yao kumwondoa Klabuni Mchezaji wao,David Alaba kufuatia Kumpigia Kura Lionel Messi kama Mchezaji Bora namba Moja wa Dunia huku Mchezaji mwenzake wa Real Madrid,Karim Benzema akimweka nafasi ya pili na ya tatu akiwa ni Kylian Mbappe.

Mashabiki hao wanamuona Alaba ambaye amepiga Kura kama Nahodha wa Timu ya Taifa ya Australia amemsaliti Mchezaji mwenzake,Karim Benzema ambapo wanaamini alistahili zaidi ya Messi.

Kupitia account za Twitter Mashabiki hao wamekuwa wakindika #AlabaOut na hata kwenye Post zake za Instagram wamekuwa waki-comment kwenye comments Kwa kuandika #AlabaOut

Mwaka 2013 Alaba aliwahi kuonesha Mapenzi yake ya wazi wazi Kwa Lionel Messi ambapo alipost Caption iliyokuwa inaashiria furaha Baada ya Messi kufunga goli.

[ATTACH=full]1312[/ATTACH]

[QUOTE="McRay, post: 3476, member: 468"] MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA. Mashabiki wa Klabu ya Real Madrid wameanzisha kampeni ya Klabu yao kumwondoa Klabuni Mchezaji wao,David Alaba kufuatia Kumpigia Kura Lionel Messi kama Mchezaji Bora namba Moja wa Dunia huku Mchezaji mwenzake wa Real Madrid,Karim Benzema akimweka nafasi ya pili na ya tatu akiwa ni Kylian Mbappe. Mashabiki hao wanamuona Alaba ambaye amepiga Kura kama Nahodha wa Timu ya Taifa ya Australia amemsaliti Mchezaji mwenzake,Karim Benzema ambapo wanaamini alistahili zaidi ya Messi. Kupitia account za Twitter Mashabiki hao wamekuwa wakindika #AlabaOut na hata kwenye Post zake za Instagram wamekuwa waki-comment kwenye comments Kwa kuandika #AlabaOut Mwaka 2013 Alaba aliwahi kuonesha Mapenzi yake ya wazi wazi Kwa Lionel Messi ambapo alipost Caption iliyokuwa inaashiria furaha Baada ya Messi kufunga goli. [ATTACH type="full"]1312[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
MASHABIKI WAMTAJA ALABA KAMA YUDA
Top
Bottom