Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mashabiki wetu wanahitaji zaidi hamasa kujaza uwanja
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuelekea michezo ya kimataifa Wikiendi hii,Simba na Yanga watakuwa uwanja wa Mkapa kuwakaribisha wapinzani wao.

Simba wataanza siku ya jumamosi kuwakaribisha Raja Casablanca wakati Yanga watawakaribisha Tp Mazembe.

Ili kufanikiwa kupata hamasa ya mchezaji wa 12 ambae ni shabiki, ni lazima apewe hamasa kubwa ya kuja uwanjani lakini pia kupunguza bei za viingilio.

Simba kuwahamasisha mashabiki wao kujaza uwanja ili kuwa kawaida yao,walikuja na kampeni ya "Kispika mtaa kwa mtaa" na walifanikiwa kwa asilimia kubwa kushawishi mashabiki.

Yanga wao walikuwa na njia nyingine kabisa ambayo unaweza kusema kwa asilimia kubwa haikufanikiwa,hivyo kuamua kufanya kama wapinzani wao kuwafuata mashabiki mitaani.

Hamasa ya mashabiki kama mchezaji wa 12 uwanjani inawapa wachezaji nguvu na ari ya kupambana zaidi kwa matokeo ya ushindi.

Hivyo kila la kheri Simba na Yanga, naamini Benjamin Mkapa Jumamosi na Jumapili utakuwa FULL HOUSE mashabiki 60,000.[ATTACH=full]1228[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3345, member: 622"] Kuelekea michezo ya kimataifa Wikiendi hii,Simba na Yanga watakuwa uwanja wa Mkapa kuwakaribisha wapinzani wao. Simba wataanza siku ya jumamosi kuwakaribisha Raja Casablanca wakati Yanga watawakaribisha Tp Mazembe. Ili kufanikiwa kupata hamasa ya mchezaji wa 12 ambae ni shabiki, ni lazima apewe hamasa kubwa ya kuja uwanjani lakini pia kupunguza bei za viingilio. Simba kuwahamasisha mashabiki wao kujaza uwanja ili kuwa kawaida yao,walikuja na kampeni ya "Kispika mtaa kwa mtaa" na walifanikiwa kwa asilimia kubwa kushawishi mashabiki. Yanga wao walikuwa na njia nyingine kabisa ambayo unaweza kusema kwa asilimia kubwa haikufanikiwa,hivyo kuamua kufanya kama wapinzani wao kuwafuata mashabiki mitaani. Hamasa ya mashabiki kama mchezaji wa 12 uwanjani inawapa wachezaji nguvu na ari ya kupambana zaidi kwa matokeo ya ushindi. Hivyo kila la kheri Simba na Yanga, naamini Benjamin Mkapa Jumamosi na Jumapili utakuwa FULL HOUSE mashabiki 60,000.[ATTACH type="full"]1228[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mashabiki wetu wanahitaji zaidi hamasa kujaza uwanja
Top
Bottom