Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

May 27, 2024
7
2
5
Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI.

1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika.

2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na haraka gani au kuna kitu wamekihisi juu ya LAWI?.

3). Kwanini SIMBA kwenye hili tangazo lao wameweka majina mawili tu, LAMECK LAWI, na sio majina matatu, LAMECK ELIAS LAWI?.

Nini kipo nyuma ya pazia juu ya usajili wa LAMECK LAWI?.

Janja janja hii Sasa hapa ndo MWAMED Kasema anasajiri mwenyewe mwaka huu.

Kwanini Wanasimba tunachezewa hivi? Ndo kwanza usajiri wa Kwanza tutaona na kusikia mengi.
 

NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
26
7
5
Slavius nguvumali

Mimi nahisi Kuna namna mambo yajakaa sawa kwa namna maneno Yana ongeleka na viongozi pande zote mbili costal union na simba