1) Kwa nini uliondoka kwenye Umoja wa Afrika (OAU) mwaka 1984 wakati ardhi yako iko Afrika?
2) Kwa nini ulitaka kujiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 1987 wakati ulijua kuwa kijiografia uko Afrika? Je, hiyo ilikuwa dharau na kiburi?
3) Kwa nini uliomba kurejea Umoja wa Afrika (AU) mwaka 2017 baada ya kukaa nje kwa miaka 33? Ulijifunza nini wakati huo ambacho kilikuwa tofauti na wengine?
Hutarajii kukata tamaa tena?
Afrika inataka kusherehekea ushindi na watu wanaotabirika!!