Matokeo ya mechi za jana ligi kuu ya NBC

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Simba wanapata ushindi kwenye uwanja wa nyumbani kwa bao 1-0 dhidi ya Namungo ukiwa ni ushindi wao wa 7 kati ya michezo 11 aliyocheza ligi kuu NBC msimu huu.
Simba 1-0 Namungo FC
Tanzania Prisons 2-4 Geita Gold
Mtibwa Sugar 2-1 Costal Union
cbc4f4bb-ef36-4f65-a01d-125a069c455a.jpg