Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mayele aibua jambo Yanga
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MJADALA mkubwa wa mechi ya Simba na Yanga iliyomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi iliyopita umeendelea kuwa ni ile bato ya straika Fiston Mayele na mabeki Joash Onyango na Henock Inonga na sasa straika huyo kazungumza kitu.

Mashabiki wengi wanazungumzia kuhusu Inonga na Onyango kumfunika Mayele, lakini straika huyo Mkongomani amesema sababu ni kwamba alisimama mbele peke yake, tofauti na mechi nyingine alizokuwa anacheza pacha na Feisal Salum ‘Fei Toto’, ambapo mmoja akikabwa mwingine anapata nafasi ya kufunga.

Alisema katika dabi hiyo, alikuwa mbali na Fei Toto, jambo lililowapa upenyo mabeki hao, kumkaba kila alipokuwa anakwenda na mpira mbele.

“Nimezoea kucheza mbele na Fei Toto, ila kwenye dabi alikuwa mbali, ndio maana Onyango na Inonga ilikuwa rahisi kukutana na mimi mbele nikiwa kwenye harakati za kwenda kufunga ama walikuwa wananiona kirahisi,” alisema Mayele na akaongeza kuwa;

“Mbali na kukabwa na hao mabeki, Simba ilicheza kwa ushindani mkali kwasababu ni mechi inayoleta huzuni na furaha Tanzania, hivyo kila mchezaji alikuwa anapambania furaha ya mashabiki wake kwa kadri tulivyoweza,” alisema.

Sababu nyingine aliyotaja ya kukabwa na mabeki hao ni kutokana na kuwafunga mechi ya Ngao ya Jamii, kitu ambacho kilikuwa hakikwepeki kwa mabeki gao kumkamia.

“Kama unavyojua dabi inavyokuwa ngumu na utani wa mashabiki, mabeki walitambua wazi nikiwafunga wangekuwa wateja wangu, ingawa nilipambana kwa kadri nilivyoweza, unaona kuna wakati niliteleza wakati nakwenda kufunga, lakini yote ni matokeo ya mpira, tuache kazi nyingine ziendelee,” alisema.

Alisema uwezo wake wa kufunga mabao na kuwasumbua mabeki ndio uliowafanya Onyango na Inonga kuonekana kufurahia sana yeye kutorudia sherehe yake ya kufunga kama alivyowatungua 1-0 kwenye Ngao ya Jamii.

STAILI YA KUSHANGILIA

Mayele mwenye mabao matatu hadi sasa, alisema kitendo cha mashabiki kupokea staili yake, kinampa faraja na kujiona kama yupo nchini kwao DR Congo.

“Nilitamani sana niifunge Simba ili mashabiki wangu waendelee kufurahia staili ya ushangiliaji wangu, maana naiona inavyotamba maeneo mbalimbali hapa Tanzania, ikiwemo makanisani,” alisema Mayele na akaongeza kuwa;

“Dabi imepita, napaswa kuwekeza nguvu kwenye majukumu yaliyopo mbele ambayo yataifanya Yanga ifikie malengo yake na mashabiki wetu kucheka huko mtaani, kikubwa mashabiki wetu waendelee kutuunga mkono kwa sababu kuna mazuri yanakuja mbele.”

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 94, member: 7"] [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3653200/landscape_ratio16x9/1160/652/1e22ab58e6cbd0da96b0fc499e5b52be/us/mayele-pic.jpg[/IMG] MJADALA mkubwa wa mechi ya Simba na Yanga iliyomalizika kwa suluhu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi iliyopita umeendelea kuwa ni ile bato ya straika Fiston Mayele na mabeki Joash Onyango na Henock Inonga na sasa straika huyo kazungumza kitu. Mashabiki wengi wanazungumzia kuhusu Inonga na Onyango kumfunika Mayele, lakini straika huyo Mkongomani amesema sababu ni kwamba alisimama mbele peke yake, tofauti na mechi nyingine alizokuwa anacheza pacha na Feisal Salum ‘Fei Toto’, ambapo mmoja akikabwa mwingine anapata nafasi ya kufunga. Alisema katika dabi hiyo, alikuwa mbali na Fei Toto, jambo lililowapa upenyo mabeki hao, kumkaba kila alipokuwa anakwenda na mpira mbele. “Nimezoea kucheza mbele na Fei Toto, ila kwenye dabi alikuwa mbali, ndio maana Onyango na Inonga ilikuwa rahisi kukutana na mimi mbele nikiwa kwenye harakati za kwenda kufunga ama walikuwa wananiona kirahisi,” alisema Mayele na akaongeza kuwa; “Mbali na kukabwa na hao mabeki, Simba ilicheza kwa ushindani mkali kwasababu ni mechi inayoleta huzuni na furaha Tanzania, hivyo kila mchezaji alikuwa anapambania furaha ya mashabiki wake kwa kadri tulivyoweza,” alisema. Sababu nyingine aliyotaja ya kukabwa na mabeki hao ni kutokana na kuwafunga mechi ya Ngao ya Jamii, kitu ambacho kilikuwa hakikwepeki kwa mabeki gao kumkamia. “Kama unavyojua dabi inavyokuwa ngumu na utani wa mashabiki, mabeki walitambua wazi nikiwafunga wangekuwa wateja wangu, ingawa nilipambana kwa kadri nilivyoweza, unaona kuna wakati niliteleza wakati nakwenda kufunga, lakini yote ni matokeo ya mpira, tuache kazi nyingine ziendelee,” alisema. Alisema uwezo wake wa kufunga mabao na kuwasumbua mabeki ndio uliowafanya Onyango na Inonga kuonekana kufurahia sana yeye kutorudia sherehe yake ya kufunga kama alivyowatungua 1-0 kwenye Ngao ya Jamii. [B]STAILI YA KUSHANGILIA[/B] Mayele mwenye mabao matatu hadi sasa, alisema kitendo cha mashabiki kupokea staili yake, kinampa faraja na kujiona kama yupo nchini kwao DR Congo. “Nilitamani sana niifunge Simba ili mashabiki wangu waendelee kufurahia staili ya ushangiliaji wangu, maana naiona inavyotamba maeneo mbalimbali hapa Tanzania, ikiwemo makanisani,” alisema Mayele na akaongeza kuwa; “Dabi imepita, napaswa kuwekeza nguvu kwenye majukumu yaliyopo mbele ambayo yataifanya Yanga ifikie malengo yake na mashabiki wetu kucheka huko mtaani, kikubwa mashabiki wetu waendelee kutuunga mkono kwa sababu kuna mazuri yanakuja mbele.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mayele aibua jambo Yanga
Top
Bottom