Mbappé jana Alistahili kuwa Mchezaji Bora wa Mechi.

kidudumtujr

Mgeni
Dec 14, 2022
50
70
5
Tanzania
Kylian Mbappe kwa performance alioionyesha jana na toka Fainali hizi za World Cup huko Qatar zimeanza ,Binafsi alistahili kuwa Mchezaji Bora wa mashindano na hata jana.

Statistics huwa hazidanganyi amefanikiwa kuwa mfungaji Bora wa World Cup.A49D7497-BFB5-4145-AB20-CA274D679CDC.jpeg
 
  • Like
Reactions: Zaka and Lukac