Kylian Mbappe kwa performance alioionyesha jana na toka Fainali hizi za World Cup huko Qatar zimeanza ,Binafsi alistahili kuwa Mchezaji Bora wa mashindano na hata jana.
Statistics huwa hazidanganyi amefanikiwa kuwa mfungaji Bora wa World Cup.
View attachment 886