Mbappe, Messi wafanya mazoezi kuwakabili Bayern Munich

Feb 7, 2023
61
36
5
Wachezaji nyota wa klabu ya PSG wamefanya mazoezi ya kujianda na mchezo wao wa ligi ya Mabingwa ulaya dhidi ya Bayern Munich.

Wachezaji hao walipata majeraha kwenye nyakati tofauti hivyo walitazamiwa kukosa mchezo huo.

Kocha wa PSG Christopher Guttier atakuwa na uamuzi juu ya nyota hao kuelekea mchezo huo mgumu kwamba awatumie au vinginevyo.20230213_153248.jpg