
Kwa Tanzania utakua ni mchezo ambao utafuatiliwa kwa kina kabisa kwa mashabiki wa Simba lakini pia na wapenda mpira kutoka hapa nchini mchezo wa makundi ligi ya mabingwa Afrika kati ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast dhidi ya Simba Sc Tanzania. Unaweza kusoma zaidi kwa kugusa hapa https://www.kijiweni.co.tz/vita-ya-mbinu-itakavyoamua-asec-mimosas-vs-simba-sc/