Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Mchezaji anaelipwa Hela nyingi Kumzidi Ronaldo.!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Watu wengi wanajua Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji tajiri zaidi baada ya kulamba dili la usajili mnono kuliko mchezaji yoyote kwa sasa.

Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 425 ambazo anazipata kutokana na mikataba ya makampuni mbalimbali kama vile Armani, Uniliver, Nike, Herbalife na Dazn.

Madili yote haya yanamuingizia Ronaldo kiasi cha paundi milioni 34 kwa mwaka.

Alikuwa anaingiza paundi milioni 62.5 kwa mwaka alipokuwa anaichezea Manchester United.

Lakini baada ya kujiunga na klabu ya Al- Nassr ya Saudi Arabia, Ronaldo anaingia paundi milioni 173 kwa mwaka .

Na kama atakaa miaka 7 klabuni hapo kama mkataba wake unavyosema, basi atajiingizia kitita cha paundi bilioni 1.3.

Hii inamfanya Ronaldo awe ndiye mchezaji ghali zaidi kwa sasa kuliko wote.

Lakini licha ya kipato chote alichonacho, Ronaldo anazidiwa utajiri mara 15 na kijana mdogo tu.

Si mwingine bali ni Faiq Bolkiah, mchezaji wa zamani wa timu ya vijana ya Arsenal.

Kijana huyo ana utajiri wa paundi bilioni 20.

Licha ya ukweli kuwa hajulikani sana katika ulimwengu wa soka, lakini ndiye mchezaji tajiri kwa sasa kuliko wote .

Bolkiah, mwenye miaka 23, amezaliwa katika familia ya kitajiri yenye kujihusisha na biashara ya mafuta.

Baba yake ndiye sultani wa kisiwa cha Brunei.

Hata hivyo, licha ya familia yake kujihusisha zaidi na biashara ya mafuta, mapenzi yake yapo katika mpira wa miguu.

Alianza kucheza mpira akiwa mdogo nchini Uingereza katika vilabu vya Southampton, Chelsea, Reading na Arsenal.

Baadae alijiunga na klabu ya Leicester mwaka 2016 ikiwa ndio mara yake ya kwanza kucheza kama mchezaji wa kulipwa.

Sasa hivi anaichezea timu ya Chonburi ya Thailand akitokea klabu ya Maritimo Desemba 2021.[ATTACH=full]992[/ATTACH]

[QUOTE="kidudumtujr, post: 2668, member: 572"] Watu wengi wanajua Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji tajiri zaidi baada ya kulamba dili la usajili mnono kuliko mchezaji yoyote kwa sasa. Ronaldo ana utajiri wa paundi milioni 425 ambazo anazipata kutokana na mikataba ya makampuni mbalimbali kama vile Armani, Uniliver, Nike, Herbalife na Dazn. Madili yote haya yanamuingizia Ronaldo kiasi cha paundi milioni 34 kwa mwaka. Alikuwa anaingiza paundi milioni 62.5 kwa mwaka alipokuwa anaichezea Manchester United. Lakini baada ya kujiunga na klabu ya Al- Nassr ya Saudi Arabia, Ronaldo anaingia paundi milioni 173 kwa mwaka . Na kama atakaa miaka 7 klabuni hapo kama mkataba wake unavyosema, basi atajiingizia kitita cha paundi bilioni 1.3. Hii inamfanya Ronaldo awe ndiye mchezaji ghali zaidi kwa sasa kuliko wote. Lakini licha ya kipato chote alichonacho, Ronaldo anazidiwa utajiri mara 15 na kijana mdogo tu. Si mwingine bali ni Faiq Bolkiah, mchezaji wa zamani wa timu ya vijana ya Arsenal. Kijana huyo ana utajiri wa paundi bilioni 20. Licha ya ukweli kuwa hajulikani sana katika ulimwengu wa soka, lakini ndiye mchezaji tajiri kwa sasa kuliko wote . Bolkiah, mwenye miaka 23, amezaliwa katika familia ya kitajiri yenye kujihusisha na biashara ya mafuta. Baba yake ndiye sultani wa kisiwa cha Brunei. Hata hivyo, licha ya familia yake kujihusisha zaidi na biashara ya mafuta, mapenzi yake yapo katika mpira wa miguu. Alianza kucheza mpira akiwa mdogo nchini Uingereza katika vilabu vya Southampton, Chelsea, Reading na Arsenal. Baadae alijiunga na klabu ya Leicester mwaka 2016 ikiwa ndio mara yake ya kwanza kucheza kama mchezaji wa kulipwa. Sasa hivi anaichezea timu ya Chonburi ya Thailand akitokea klabu ya Maritimo Desemba 2021.[ATTACH type="full"]992[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Mchezaji anaelipwa Hela nyingi Kumzidi Ronaldo.!
Top
Bottom