Mchezaji bora wa mwezi Novemba Fiston Kalala Mayele

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Mayele kawa mchezaji bora wa mwezi baada yakuonesha kiwango bora ndani mwezi Novemba akitoa mchango mkubwa kwenye timu ya Yanga, Akiwa amefunga mabao saba kwenye mabao hayo matatu ilikua ni "Hattrick" ndani ya mchezo mmoja, Mayele pia alihusika kwa sehemu kwenye upatikanaji wa magoli kwenye timu yake ya Yanga zaidi ya wachezaji wa timu pinzani. Hii imempa Mayele nafasi ya kuwa Mchezaji bora wa mwezi Novemba Ligi kuu (NBC).
a360580f-a5a3-4db0-a520-2a7fbb8db4b9.jpg
 
  • Like
Reactions: Rashidi and McRay