Mechi ya kirafiki Namungo vs Al Hilal

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Wakipige kweny mashindano sasa wanakuwa kam sio wao vile. Huyo makabi lilepo akishika mpira,mnafunga macho mnamuachia Mungu na kipa😂

Enewei Hongera sana kwa Namungo walioifunga timu iliyomshinda Yanga

Namungo 1-0 Al Hilal


1674744960413.png