Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Capitano" data-source="post: 2293" data-attributes="member: 477"><p>Mechi ya fainali kwangu ni bora sana, maana ilifika wakati tunaona bingwa ni ARGENTINA, lakini dakika chache kabla mechi kuisha, tukaanza kujiuliza kombe linaenda wapi? Maana ilikuwa piga nikupige, na vuta nikuvute. </p><p></p><p>Kitu kingine cha kipekee kabisa kwangu ni namna referee Szymon Marciniak kutoka Poland alivyochezesha mchezo kwa weledi sana, na alifanya mchezo wa soka uwe na ladha yake ya asili kwakuwa hatukuwa na VAR check hata moja, japokuwa kulikuwa na matukio yenye utata, lakini referee Szymon Marciniak hakutetereka na maamuzi yake hata mara moja, na alikuwa fair.</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Capitano, post: 2293, member: 477"] Mechi ya fainali kwangu ni bora sana, maana ilifika wakati tunaona bingwa ni ARGENTINA, lakini dakika chache kabla mechi kuisha, tukaanza kujiuliza kombe linaenda wapi? Maana ilikuwa piga nikupige, na vuta nikuvute. Kitu kingine cha kipekee kabisa kwangu ni namna referee Szymon Marciniak kutoka Poland alivyochezesha mchezo kwa weledi sana, na alifanya mchezo wa soka uwe na ladha yake ya asili kwakuwa hatukuwa na VAR check hata moja, japokuwa kulikuwa na matukio yenye utata, lakini referee Szymon Marciniak hakutetereka na maamuzi yake hata mara moja, na alikuwa fair. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MECHI YANGU BORA YA WORLD CUP 2022 NI ARGENTINA vs NETHERLANDS
Top
Bottom