Mtaa wa kijiweni unaongea je leo Argentina atatoboa?? Argentina ametoka kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Saudi Arabia na leo anaenda kukutana na Mexico mechi hii anauhitaji mkubwa sana wa kupata ushindi ili kuzisaka alama 3 muhimu zakumpa matumaini ya kusonga mbele Je atafanikiwa??