Mechi za leo EPL

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
FhWd-qXX0AAZb9v.jpg
Saa 15:30 mchana Manchester City watakua uwanja wa nyumbani Etihad wakiwakaribisha Brentford
Saa 18:00 Alasiri Everton wakiwa ugenini uwanja wa Vitality Stadium wakikipiga na Bournemouth.
Saa 18:00 Liverpool kwenye uwanja wao wa nyumbani Anfield wakiwaalika Southampto.
Saa 18:00 Spurs wanakaribisha Leeds United kwenye uwanja wao wa nyumbani Hotspur stadium
Saa 18:00 Leicester City wakiwa ugenini uwanja wa London Stadium wakikipiga na West Ham United
Saa 20:30 Chelsea wakialikwa na Newcastle kwenye uwanja wao wa nyumbani ST. James Park
Saa 22:45 Arsenal wakiwa ugenini kwenye uwanja wa Molineux stadium wakikaribishwa na Wolves
 
Last edited: