Mechi za leo ligi kuu (NBC)

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
8356d03f-9857-418a-8ae6-c4cb8f97fe11.jpeg

Simba leo saa 10:00 jioni ugenini wakikutana na Mbeya City kuzisaka pointi tatu muhimu zakumrejesha kileleni. Je atawezana?

Singida Big Stars Saa 8:00 mchana akimkaribisha KMC
 
  • Like
Reactions: Nabi