Simba leo saa 10:00 jioni ugenini wakikutana na Mbeya City kuzisaka pointi tatu muhimu zakumrejesha kileleni. Je atawezana? Singida Big Stars Saa 8:00 mchana akimkaribisha KMC