Mechi za leo Ligi kuu

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Saa 1:00 usiku Simba wanaenda kuwakaribisha Ruvu shooting uwanja wa Benjamin Mkapa, kuzisaka alama tatu muhimu.

Saa 08:00 mchana Geita Gold watakiwasha na wenyeji wao katika mchezo huoo ambao ni Mbeya City.

Saa 1:00 usiku Azam FC wakikaribishwa na Namungo FC ambao ndo wenyeji wa mchezo huo, Azam wakienda kutetea nafasi yao ya pili katika Ligi.
 

Attachments

  • E37CCEC1-B3C7-42C4-BC78-17801B834566.jpeg
    E37CCEC1-B3C7-42C4-BC78-17801B834566.jpeg
    166.3 KB · Somwa: 0