Mechi ya leo Novemba 22, 2022 ni moja tu Saa10:00 jioni Dodoma Jiji anamualika Yanga nyumbani kwake, Yanga anaenda kupambania kurudi nafasi yake ya juu. Bingwa mtetezi huyu leo atachimoka kwa wagogo???