Media zinatudanganya na sisi tunadanganyika

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Media zinatudanganya na sisi tunadanganyika😂😂😂

Kina Toney,Odegaard,Saka,Elise wanafanya makubwa huko ila media huziskii.

Kama kawaida yao wanakuja kututeka na kituaminisha vitu hewa ili tu tuingie mkenge na kuzidi kupoteana.

ANYWAY U.T.D NA MEDIA NA MEDIA NDIO ZATUVURUGA PIA