Men's Player of the Year...

Feb 7, 2023
61
36
5
Shirikisho la soka duniani FIFA wametoa orodha ya mwisho ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kiume kwa mwaka 2022.

Katika orodha hiyo kuna Lionel Messi mshindi wa kombe la dunia, kylian Mbappe mfungaji bora wa kombe la dunia na mshindi wa pili wa michuano hiyo na wa mwisho ni Karim Benzema mshindi wa Uefa na mfungaji bora wa michuano hiyo.

Unafikiri nani anastahili tuzo hiyo kwa mwaka wa 2022?
20230210_200522.jpg