Miaka Ya Nyuma Ancelloti Akiwa Madrid Kabla Ya Kutimuliwa Na Kurudi Tena Hivi Karibuni,Aliwahi Kuulizwa Unafanya Nini Ili Wachezaj Wako Wamkabe Messi Asilete Madhara..??
Ancelloti Akasema Namna Pekee Ni Kutomtaja Messi Muwapo Mazoezin Au Mkiwa Katika Game Plan..!
Nafikiri Ancelloti Alimaanisha Yaani Timu Ikienda Kucheza Imchukulie Messi Kama Mtu Wa Kawaida,Ukitaka Umchambue Messi Namna Ya Kumkaba Ni Kuharibu Mipango Yako Kocha Na Kuwatia Uoga Wachezaj.
Leo Mwalim Didier Dischamp Na Vijana Wake Wana Kazi Ya Kufanya Kumlinda Huyu Kiumbe..!