Messi na Ronaldo Wanastahili kombe la dunia?

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
je, Ronaldo na Messi wanastahili kushinda Kombe la Dunia ukilinganisha na pafomansi yao katika michuano hiyo?


-MESSI ameshiriki michuano 5 kacheza mechi 20 kafunga goli 7.

-RONALDO kashiriki michuano 5 kacheza mechi 17 kafunga goli 7
1AA04326-0205-4D6F-96C8-8C70246BB5AD.jpeg