Mesut Ozil

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Hadi sasa Kiungo mshambuliaji wa Fenerbahce Mesut Özil
🇩🇪
amelipia gharama za upasuaji wa watoto 1,000 maskini wanaohitaji msaada huo pamoja na kulisha zaidi ya watu 100,000 wasio na makazi kote duniani kupitia kazi yake ya ziada ya kutoa misaada.
Utu
🙌🏻
❤️

1641633274178.png