Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MEXICAN WAVE
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mexican Wave

Hii ni aina ya ushangiliaji ambapo mashabiki uwanjani hushangilia kwa style moja, na pindi inapotokea Mexican wave uwanjani wakati wa mechi, hii inadhihirisha kuwa watazamaji wanafurahia mchezo.

Namna ya kushangilia ni kuinuka na kuinua mikono juu kwa awamu kuzunguka uwanja mzima.

Asili ya mtindo huu wa ushangiliaji (Mexican wave) ilianzia kwenye mchezo wa American football nchini marekani kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980, lakini ushangiliaji huu ulipata umaarufu kimataifa miaka michache baadae kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini Mexico mnamo mwaka 1986 na ndipo ulipewa jina hilo la Mexican Wave.

Na ushangiliaji huu mara nyingi huonekana kwenye mashindano ya kombe la dunia, mfano kwenye World Cup hii tumeona kwenye mechi kama ya Portugal dhidi ya Switzerland, Spain dhidi ya Costa Rica, bila shaka na mechi nyingine imefanyika hii Mexican wave.

Tuendelee kutazama, kufurahia na kufuatilia mashindano haya ya kombe la dunia kutoka nchini Qatar, bila shaka tutaona ushangiliaji huu wa kuvutia sana wa (Mexican Wave) ukitokea viwanjani.

[QUOTE="Capitano, post: 2056, member: 477"] Mexican Wave Hii ni aina ya ushangiliaji ambapo mashabiki uwanjani hushangilia kwa style moja, na pindi inapotokea Mexican wave uwanjani wakati wa mechi, hii inadhihirisha kuwa watazamaji wanafurahia mchezo. Namna ya kushangilia ni kuinuka na kuinua mikono juu kwa awamu kuzunguka uwanja mzima. Asili ya mtindo huu wa ushangiliaji (Mexican wave) ilianzia kwenye mchezo wa American football nchini marekani kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980, lakini ushangiliaji huu ulipata umaarufu kimataifa miaka michache baadae kwenye mashindano ya kombe la dunia nchini Mexico mnamo mwaka 1986 na ndipo ulipewa jina hilo la Mexican Wave. Na ushangiliaji huu mara nyingi huonekana kwenye mashindano ya kombe la dunia, mfano kwenye World Cup hii tumeona kwenye mechi kama ya Portugal dhidi ya Switzerland, Spain dhidi ya Costa Rica, bila shaka na mechi nyingine imefanyika hii Mexican wave. Tuendelee kutazama, kufurahia na kufuatilia mashindano haya ya kombe la dunia kutoka nchini Qatar, bila shaka tutaona ushangiliaji huu wa kuvutia sana wa (Mexican Wave) ukitokea viwanjani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
MEXICAN WAVE
Top
Bottom