Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mfahamu Gabadinho, Nyota Aliyewindwa na Yanga, Aacha Rekodi AFCON.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nyota wa klabu ya Orlando Pirates, Gabadinho Mhango ametupwa nje katika michuano ya kombe la mataifa Afrika akiwa na timu yake ya taifa ya Malawi.

Licha ya kutupwa nje katika michuano hii Gabadinho ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi mpaka kufikia hatua ya robo fainali kutoka katika ligi ya ndani. Kipindi cha dirisha dogo la usajili nyota huyu kutoka Malawi aliwindwa sana na klabu ya Yanga.

Gabadinho amekuwa ni mchezaji hatari katika michuano hii ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON). Mpaka timu yake ya taifa ya Malawi inatolewa katika michuano hii Gabadinho amefanikiwa kufunga magoli matatu.

Ameweza kutolewa lakini binafsi amejiwekea rekodi nzuri katika michuano hii mikubwa barani Afrika. Malawi walitolewa na timu ya taifa ya Morocco ambayo moja kwa moja imetinga hatua ya robo fainali.

Michuano ya msimu huu imekuwa na ushindani mkubwa kuna mataifa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele kwa sasa yanaonekana kufanya vizuri mfano mzuri ni taifa la Gambia.

Lakini pia kuna mataifa ambayo yalikuwa yanapewa kipaumbele kuwa yanaweza kufanya vizuri katika michuano hii lakini hayajaweza kufanya vizuri mfano mzuri ni taifa la Algeri ambao walikuwa mabingwa watetezi wa michuano hii.

Malawi wametolewa katika michuano hii lakini ukiangalia kundi lao lilivyokuwa wamejitahidi sana mpaka kufika katika hatua ya robo fainali. Kitendo cha klabu ya Yanga kutaka kumsajili Gabadinho inakuonesha ni jinsi gani walivyojipanga kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano yote watakayo shiriki.

Kuna uwezekano mkubwa sana klabu msimu ujao klabu ya Yanga ikaenda kucheza michuano ya kimataifa kwahiyo bado wanaweza kumshawishi Gabadinho kutua Bongo.

Kama Yanga watampata mchezaji huyu kwa msimu ujao anaweza akawasaidia sana katika michuano ya kimataifa. Mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Yanga Senzo Mazingiza tayari alisha sema kuwa kwa sasa klabu ya Yanga inaweza kumsajili mchezaji yoyote ambaye mwalimu Nabi ataonesha nia ya kumuhitaji. Kwahiyo hata Muhango Gabadinho anaweza kutua Jangwani.

[QUOTE="Amir, post: 599, member: 20"] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Gabadinho-Mhango.jpg[/IMG] Nyota wa klabu ya Orlando Pirates, Gabadinho Mhango ametupwa nje katika michuano ya kombe la mataifa Afrika akiwa na timu yake ya taifa ya Malawi. Licha ya kutupwa nje katika michuano hii Gabadinho ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi mpaka kufikia hatua ya robo fainali kutoka katika ligi ya ndani. Kipindi cha dirisha dogo la usajili nyota huyu kutoka Malawi aliwindwa sana na klabu ya Yanga. Gabadinho amekuwa ni mchezaji hatari katika michuano hii ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON). Mpaka timu yake ya taifa ya Malawi inatolewa katika michuano hii Gabadinho amefanikiwa kufunga magoli matatu. Ameweza kutolewa lakini binafsi amejiwekea rekodi nzuri katika michuano hii mikubwa barani Afrika. Malawi walitolewa na timu ya taifa ya Morocco ambayo moja kwa moja imetinga hatua ya robo fainali. Michuano ya msimu huu imekuwa na ushindani mkubwa kuna mataifa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele kwa sasa yanaonekana kufanya vizuri mfano mzuri ni taifa la Gambia. Lakini pia kuna mataifa ambayo yalikuwa yanapewa kipaumbele kuwa yanaweza kufanya vizuri katika michuano hii lakini hayajaweza kufanya vizuri mfano mzuri ni taifa la Algeri ambao walikuwa mabingwa watetezi wa michuano hii. Malawi wametolewa katika michuano hii lakini ukiangalia kundi lao lilivyokuwa wamejitahidi sana mpaka kufika katika hatua ya robo fainali. Kitendo cha klabu ya Yanga kutaka kumsajili Gabadinho inakuonesha ni jinsi gani walivyojipanga kuhakikisha wanafanya vizuri katika michuano yote watakayo shiriki. Kuna uwezekano mkubwa sana klabu msimu ujao klabu ya Yanga ikaenda kucheza michuano ya kimataifa kwahiyo bado wanaweza kumshawishi Gabadinho kutua Bongo. Kama Yanga watampata mchezaji huyu kwa msimu ujao anaweza akawasaidia sana katika michuano ya kimataifa. Mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Yanga Senzo Mazingiza tayari alisha sema kuwa kwa sasa klabu ya Yanga inaweza kumsajili mchezaji yoyote ambaye mwalimu Nabi ataonesha nia ya kumuhitaji. Kwahiyo hata Muhango Gabadinho anaweza kutua Jangwani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mfahamu Gabadinho, Nyota Aliyewindwa na Yanga, Aacha Rekodi AFCON.
Top
Bottom