Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Mfahamu Kazuyoshi… Umri wa Miaka 54 na Bado Anasakata Kabumbu.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ANAKUAMBIWA umri sio tatizo kwake, huyu ni Kazuyoshi Miura raia wa Japan mwenye umri wa miaka 54, amesaini kandarasi ya kuitumikia Timu ya Suzuka Point Getters ambayo inashiriki ligi ya daraja la nne huko Japan.

Kazuyoshi ambaye alizaliwa February 26, 1967 alianza Kucheza soka la kulipwa mwaka 1986 na ana umri wa soka miaka mitatu zaidi ya Klabu ya PSG ya Ujerumani.

Kazuyoshi aliwahi kuichezea pia timu ya taifa ya Japan kuanzia 1990 mpaka mwaka 2000, alifanikiwa kucheza michezo 89 na kufunga mabao 55.

Amewahi kuchezea timu za Yokohama FC, Tokyo Verdy, Vissel Kob, Kyoto Sanga, Genoa CFC, Sydney FC kwa nyakati tofauti.

Mafanikio binafsi, Mchezaji Bora wa Mwaka wa Japan mara mbili, Mfungaji Bora wa Mwaka mara tatu, Kombe la Bara la Asia mara moja, Ubingwa wa Ligi ya Croatia mara moja, Ubingwa wa Ligi ya Jappan mara moja na sasa bado yupo sana dimbani.

Umri sio tatizo, neno moja kwa Kazuyoshi.

[QUOTE="Amir, post: 557, member: 20"] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Kazuyoshi-Miura.jpg[/IMG] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Kazuyoshi-Miura.jpg[/IMG] ANAKUAMBIWA umri sio tatizo kwake, huyu ni Kazuyoshi Miura raia wa Japan mwenye umri wa miaka 54, amesaini kandarasi ya kuitumikia Timu ya Suzuka Point Getters ambayo inashiriki ligi ya daraja la nne huko Japan. Kazuyoshi ambaye alizaliwa February 26, 1967 alianza Kucheza soka la kulipwa mwaka 1986 na ana umri wa soka miaka mitatu zaidi ya Klabu ya PSG ya Ujerumani. Kazuyoshi aliwahi kuichezea pia timu ya taifa ya Japan kuanzia 1990 mpaka mwaka 2000, alifanikiwa kucheza michezo 89 na kufunga mabao 55. Amewahi kuchezea timu za Yokohama FC, Tokyo Verdy, Vissel Kob, Kyoto Sanga, Genoa CFC, Sydney FC kwa nyakati tofauti. Mafanikio binafsi, Mchezaji Bora wa Mwaka wa Japan mara mbili, Mfungaji Bora wa Mwaka mara tatu, Kombe la Bara la Asia mara moja, Ubingwa wa Ligi ya Croatia mara moja, Ubingwa wa Ligi ya Jappan mara moja na sasa bado yupo sana dimbani. Umri sio tatizo, neno moja kwa Kazuyoshi👍. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Mfahamu Kazuyoshi… Umri wa Miaka 54 na Bado Anasakata Kabumbu.
Top
Bottom