Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba.

Kiungo Cha Simba kilikatika kabisa hakuna mipira inayosogea mbele ikitokea Kati unaona kabisa Saido anapoteza Sana mipira pale Kati

Chama kutokea pembeni hachezi kwa Uhuru kabisa chama muweke Nyuma. Ya Washambuliaji chama anapenda kutoa Assist kuliko kufunga Ni tofauti na Saido anapenda kufunga zaidi so Mwalimu ajue namna ya kuwachezesha hawa watu.

Lakini swali kwanini Mgunda akiwa na hawa hawa mpira unatembea? Huyu mpira hauchezwi kabisa na tukicheza mpira basi tutapiga pasi nyingi eneo letu sio eneo la mpinzani.

Sawa wameshinda Ila mpira wa Simba umepotea na ladha hakuna tena.

4D87BEE2-735B-435A-9E44-B4F2A1356ECB.jpeg