Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba.

Kiungo Cha Simba kilikatika kabisa hakuna mipira inayosogea mbele ikitokea Kati unaona kabisa Saido anapoteza Sana mipira pale Kati

Chama kutokea pembeni hachezi kwa Uhuru kabisa chama muweke Nyuma. Ya Washambuliaji chama anapenda kutoa Assist kuliko kufunga Ni tofauti na Saido anapenda kufunga zaidi so Mwalimu ajue namna ya kuwachezesha hawa watu.

Lakini swali kwanini Mgunda akiwa na hawa hawa mpira unatembea? Huyu mpira hauchezwi kabisa na tukicheza mpira basi tutapiga pasi nyingi eneo letu sio eneo la mpinzani.

Sawa wameshinda Ila mpira wa Simba umepotea na ladha hakuna tena.

[ATTACH=full]1300[/ATTACH]

[QUOTE="Brenda, post: 3458, member: 464"] Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba. Kiungo Cha Simba kilikatika kabisa hakuna mipira inayosogea mbele ikitokea Kati unaona kabisa Saido anapoteza Sana mipira pale Kati Chama kutokea pembeni hachezi kwa Uhuru kabisa chama muweke Nyuma. Ya Washambuliaji chama anapenda kutoa Assist kuliko kufunga Ni tofauti na Saido anapenda kufunga zaidi so Mwalimu ajue namna ya kuwachezesha hawa watu. Lakini swali kwanini Mgunda akiwa na hawa hawa mpira unatembea? Huyu mpira hauchezwi kabisa na tukicheza mpira basi tutapiga pasi nyingi eneo letu sio eneo la mpinzani. Sawa wameshinda Ila mpira wa Simba umepotea na ladha hakuna tena. [ATTACH type="full"]1300[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mfumo wa Mwalimu Robatihno sio Mfumo sahihi kwa Aina ya wachezaji walio nao Simba.
Top
Bottom