MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Kwa mujibu wa AHMED ALLY ameandika hivi :

Juma Mgunda ndie Kocha bora Tanzania hivi sana
Kocha Mgunda alianza msimu akiwa na timu ya Simba Queens na ameiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa akiwa hajapoteza mechi hata moja
Baada ya kuipa Ubingwa Queens, sasa yupo Simba Senior team na amefanya mabadiliko makubwa kwenye timu

Ameweza kunyanyua viwango vya Wachezaji na ataiwezesha Simba kumaliza nafasi mbili za juu

Ni Kocha mwenye uwezo wa kuzalisha, kutengeneza na kuendeleza kipaji cha mchezaji

Kufundisha Wanaume na Wanawake ndani ya msimu mmoja na wote wakapata mafanikio sio jambo jepesi na sio kila Kocha anaweza ni Juma Mgunda pekee

Inaweza kuja hoja ya Ubingwa lakini haina mashiko, Kuna Mbwana Makata alikua kuwa bora kwa sababu ya kuinusuru Kagera Sugar kushuka daraja, Mecky Mexime aliwahi Kocha bora kwa kuzalisha kuendeleza vipaji na kuitengeneza Mtibwa Sugar kuwa timu tishio kama anavyofanya Mgunda hivi sasa

Sababu ya mwisho kwanini Juma Mgunda ndio Kocha bora ni nidhamu na heshima aliyonayo

Kocha Mgunda hajawaji kutukana Mwamuzi, hajawahi kupigana na wala hajawahi kuingia Uwanjan kufanya vurugu

Unadhani Ni Wakati Sahihi Wa Simba Kumuamini Na Kumpa Timu Juma M Kwa Msimu Ujao?
 
Melick90@

Mgeni
May 2, 2024
5
2
5
Mgunga soccer analiweza kila kipind anachopewa team mgunda inakuwa na hali mbaya lkn akiingia kazini team mara nyingi inabadilika na kuanza kujiludi kweny kiwango furani. Shida inapokuja ni kwamba makocha wazawa awahaminiwi. Ila mgunda apewe team bs ata kwa msimu ili tuone kam ni kwel anaweza kuiongoza......
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Aliiongoza Ile Coastal Union yenye vipaji vijana pekee ikawa ya moto Sanaa
 
Abdi

Mgeni
May 10, 2024
1
1
5
Kwa mujibu wa AHMED ALLY ameandika hivi :

Juma Mgunda ndie Kocha bora Tanzania hivi sana
Kocha Mgunda alianza msimu akiwa na timu ya Simba Queens na ameiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa akiwa hajapoteza mechi hata moja
Baada ya kuipa Ubingwa Queens, sasa yupo Simba Senior team na amefanya mabadiliko makubwa kwenye timu

Ameweza kunyanyua viwango vya Wachezaji na ataiwezesha Simba kumaliza nafasi mbili za juu

Ni Kocha mwenye uwezo wa kuzalisha, kutengeneza na kuendeleza kipaji cha mchezaji

Kufundisha Wanaume na Wanawake ndani ya msimu mmoja na wote wakapata mafanikio sio jambo jepesi na sio kila Kocha anaweza ni Juma Mgunda pekee

Inaweza kuja hoja ya Ubingwa lakini haina mashiko, Kuna Mbwana Makata alikua kuwa bora kwa sababu ya kuinusuru Kagera Sugar kushuka daraja, Mecky Mexime aliwahi Kocha bora kwa kuzalisha kuendeleza vipaji na kuitengeneza Mtibwa Sugar kuwa timu tishio kama anavyofanya Mgunda hivi sasa

Sababu ya mwisho kwanini Juma Mgunda ndio Kocha bora ni nidhamu na heshima aliyonayo

Kocha Mgunda hajawaji kutukana Mwamuzi, hajawahi kupigana na wala hajawahi kuingia Uwanjan kufanya vurugu

Unadhani Ni Wakati Sahihi Wa Simba Kumuamini Na Kumpa Timu Juma M Kwa Msimu Ujao?
Tatizo sio makocha wa simba shida viongozi pale wanapiga pesa za usajili
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mhe.Laiz@

Mgeni
May 2, 2024
5
3
5
Makocha wa tz mbn wap vzr
Mgunda n kocha mzuri sana ila Sasa cc watanzania tushazoea kuwa lazima kocha awe wa kigeni tena mzungu kitu ambacho c sawa lait mgunda akioewa team alaf alatewe wachezaji wazuri cmba itakuwa nafac ya pili afrika na kwa Tx akuna timu itakayosumbua tena
 
Hunter14

Mpiga Chabo
May 8, 2024
1
0
0
Mgunda ni kocha Bora hats kile kipind aliachiwa Tim kutinga makundi alimpika deal agost nje ndan n wakat sahih juu wa kumpa timu kocha mzawa