Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa mujibu wa AHMED ALLY ameandika hivi :

Juma Mgunda ndie Kocha bora Tanzania hivi sana

Kocha Mgunda alianza msimu akiwa na timu ya Simba Queens na ameiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa akiwa hajapoteza mechi hata moja

Baada ya kuipa Ubingwa Queens, sasa yupo Simba Senior team na amefanya mabadiliko makubwa kwenye timu

Ameweza kunyanyua viwango vya Wachezaji na ataiwezesha Simba kumaliza nafasi mbili za juu

Ni Kocha mwenye uwezo wa kuzalisha, kutengeneza na kuendeleza kipaji cha mchezaji

Kufundisha Wanaume na Wanawake ndani ya msimu mmoja na wote wakapata mafanikio sio jambo jepesi na sio kila Kocha anaweza ni Juma Mgunda pekee

Inaweza kuja hoja ya Ubingwa lakini haina mashiko, Kuna Mbwana Makata alikua kuwa bora kwa sababu ya kuinusuru Kagera Sugar kushuka daraja, Mecky Mexime aliwahi Kocha bora kwa kuzalisha kuendeleza vipaji na kuitengeneza Mtibwa Sugar kuwa timu tishio kama anavyofanya Mgunda hivi sasa

Sababu ya mwisho kwanini Juma Mgunda ndio Kocha bora ni nidhamu na heshima aliyonayo

Kocha Mgunda hajawaji kutukana Mwamuzi, hajawahi kupigana na wala hajawahi kuingia Uwanjan kufanya vurugu

Unadhani Ni Wakati Sahihi Wa Simba Kumuamini Na Kumpa Timu Juma M Kwa Msimu Ujao?

[QUOTE="Kijiweni, post: 3956, member: 476"] [B][I]Kwa mujibu wa AHMED ALLY ameandika hivi :[/I][/B] Juma Mgunda ndie Kocha bora Tanzania hivi sana Kocha Mgunda alianza msimu akiwa na timu ya Simba Queens na ameiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa akiwa hajapoteza mechi hata moja Baada ya kuipa Ubingwa Queens, sasa yupo Simba Senior team na amefanya mabadiliko makubwa kwenye timu Ameweza kunyanyua viwango vya Wachezaji na ataiwezesha Simba kumaliza nafasi mbili za juu Ni Kocha mwenye uwezo wa kuzalisha, kutengeneza na kuendeleza kipaji cha mchezaji Kufundisha Wanaume na Wanawake ndani ya msimu mmoja na wote wakapata mafanikio sio jambo jepesi na sio kila Kocha anaweza ni Juma Mgunda pekee Inaweza kuja hoja ya Ubingwa lakini haina mashiko, Kuna Mbwana Makata alikua kuwa bora kwa sababu ya kuinusuru Kagera Sugar kushuka daraja, Mecky Mexime aliwahi Kocha bora kwa kuzalisha kuendeleza vipaji na kuitengeneza Mtibwa Sugar kuwa timu tishio kama anavyofanya Mgunda hivi sasa Sababu ya mwisho kwanini Juma Mgunda ndio Kocha bora ni nidhamu na heshima aliyonayo Kocha Mgunda hajawaji kutukana Mwamuzi, hajawahi kupigana na wala hajawahi kuingia Uwanjan kufanya vurugu Unadhani Ni Wakati Sahihi Wa Simba Kumuamini Na Kumpa Timu Juma M Kwa Msimu Ujao? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MGUNDA APEWE TIMU MSIMU UJAO?
Top
Bottom