Reply to thread

Tarehe 11/02/1935 klabu ya Wananchi Kutoka mitaa ya Twiga na Jangwani Yanga Ilianzishwa.


Leo Tarehe 11/02/2025 imetimiza miaka 90 Toka kuanzishwa kwake


Kwa WANANCHI Wa Kijiweni kitu Gani kilikufanya ukanipenda na kuishabikia Yanga?


Kwani 1 + 1 = ni ngapi?