Mkurugenzi wa Barca Cruyff: "Tumekuwa tukimfuatilia Mohamed Kudus kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hatuwezi kusema sasa kwamba Barca wanataka Kudus... lakini anavutia", aliiambia RAC "Anafunga mabao na huko Uholanzi wanajadili mengi kuhusu nafasi yake, kwa hivyo ndio - namfahamu vyema".
