Mmekionaje Kiwango Cha YANGA? Unadhani Wanapaswa Kuboresha Eneo Gani?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
273
389
25
Mambo vipi Wana familia ya Kijiweni.. Bila shaka mmetazama Mchezo wa Kaizer Chiefs vs Yanga SC ambao wananchi wameondoka na Ushindi wa mabao 4 Kwa sifuri na kuchukua Ubingwa Wa TOYOTA CUP..

Mmekionaje Kiwango Cha YANGA? Unadhani Wanapaswa Kuboresha Eneo Gani?
 
May 7, 2024
7
4
5
Kaizer chiefs nafas ya 10 goal difference ni -5 huk kwetu kagera united nafas ya 10 goal difference ni -9 wote ni walewale tuuh🀣🀣🀣
UBAYA UBWAX UBWELA Na wakiuliza maana ya SANDA waambie msim huu kila team itaonja umauti 🀣🀣🀣
 
Fipa boy

Mpiga Chabo
Jul 24, 2024
3
0

Unateseka sana na pira biriani la yanga
 
bilshan

Mpiga Chabo
Jul 28, 2024
1
0
0
Kaizer chiefs nafas ya 10 goal difference ni -5 huk kwetu kagera united nafas ya 10 goal difference ni -9 wote ni walewale tuuh🀣🀣🀣
UBAYA UBWAX UBWELA Na wakiuliza maana ya SANDA waambie msim huu kila team itaonja umauti 🀣🀣🀣
Wewe ni simba sio Sasa hao umesema wapo sawa na kagera united bas tutaona nyiyi mtajifananisha na timu Gani hapa bongo talehe nane kama sio mbao fc
 
faustine de pol

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
7
0
0
Naomba kujua timu inayocheza na Simba mda huu international friend match ni ya ligi kuu ya Saudi Arabia au dalaja la ngapi , ni nafasi yake misimu iliopita kwenye mashindano