Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya

Ngao ya Jamii.

Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake.

Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya

Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025.

Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini.

[QUOTE="Kijiweni, post: 4517, member: 476"] Taarifa ya Tuzo kutoka TFF inasema Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sasa zitakuwa zikifanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii. Lengo la mabadiliko ya Hafla hizo za kuwatuza wachezaji bora wa msimu ni kufanya maboresho ya kulifanya tukio kuwa bora zaidi kukidhi malengo na mahitaji yake. Kwa mabadiliko hayo hafla ya Tuzo za TFF kwa msimu wa 2023/2024 itafanyika wakati wa michezo ya Ngao ya Jamii kufungua msimu wa 2024/2025. Tuzo za TFF ni tukio la kuzawadia wanamichezo waliofanya vizuri katika mashindano yanayoandaliwa na TFF/Bodi ya Ligi (TPLB) na matukio mengine rasmi yenye kuambatana na mpira wa miguu hapa chini. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mmepokeaje Taarifa Hii Ya TFF? Wako Sawa?
Top
Bottom