Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Leo Yanga mmejitahidi ila inabidi wawe wanaandaa wapiga penalt wazuri na sio mtu yeyote tuu au kubahatisha. Mayele ajifunze umakini akifika golini na kutaka kufunga na asitake afunge yeye tuu hata kama hana nafasi nzuri ajifunze kutoa pasi kwa wenzake.

Yanga tunashida mbili endelevu.. mipira ya set pieces na wapigaji wa penalty nadhani hatuna mazoez ya kutosha.

Fantastic display.... Mudathir ni aina ya mchezaji anayehitaji muda wa kufikiria akiwa na mpira, he has to be quick, lasivo watakuwa wanampress wanamnyang'anya kama leo

Mayele akiwa anakimbia kuelekea goli usitegemee atakupasia sometimes anapoteza clear chances.

Tunahitaji winga mmoja wa kisasa anaeweza kukimbia kuelekea ndani, in modern football ukikimbilia pembeni wanakuacha wanakaba alie kwenye box ukipiga tu cross inapotea

Pia Timu leo haikuwa organized sawa sawa Tumepoteza nafasi ikiwemo Penalt na wachezaji kunyimana pasi muhimu kwaajili ya kufunga goli. AzizKi ,TuisilaKisinda ,Bangala ,Musonda wote hawakuwa mchezoni leo.

[ATTACH=full]1395[/ATTACH]

[QUOTE="Bangala, post: 3628, member: 570"] Leo Yanga mmejitahidi ila inabidi wawe wanaandaa wapiga penalt wazuri na sio mtu yeyote tuu au kubahatisha. Mayele ajifunze umakini akifika golini na kutaka kufunga na asitake afunge yeye tuu hata kama hana nafasi nzuri ajifunze kutoa pasi kwa wenzake. Yanga tunashida mbili endelevu.. mipira ya set pieces na wapigaji wa penalty nadhani hatuna mazoez ya kutosha. Fantastic display.... Mudathir ni aina ya mchezaji anayehitaji muda wa kufikiria akiwa na mpira, he has to be quick, lasivo watakuwa wanampress wanamnyang'anya kama leo Mayele akiwa anakimbia kuelekea goli usitegemee atakupasia sometimes anapoteza clear chances. Tunahitaji winga mmoja wa kisasa anaeweza kukimbia kuelekea ndani, in modern football ukikimbilia pembeni wanakuacha wanakaba alie kwenye box ukipiga tu cross inapotea Pia Timu leo haikuwa organized sawa sawa Tumepoteza nafasi ikiwemo Penalt na wachezaji kunyimana pasi muhimu kwaajili ya kufunga goli. AzizKi ,TuisilaKisinda ,Bangala ,Musonda wote hawakuwa mchezoni leo. [ATTACH type="full"]1395[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mmeshinda lakini mna furaha?? Yanga Pointi 7 nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi
Top
Bottom