Mnatukwaza snaa mashabiki kuingiza siasa kwenye mpira

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Sema wazee

Ila kuihusisha team na siasa za vyama mnatukwaza mno wazee!!!

Sisi tunaipenda Timu na si vinginevyo

Kiukweli viongozi wetu wasipoliangalia hili kwa jicho la 3 wanachama wengi tutajitoa na hatutachangia tena ada ya Uachama!!

Narudia tena kitendo cha kuhusisha team na mambo ya siasa *mnatukwaza mno* chonde chonde achaneni na hizo mambo kabsa hazina Afya kwenye mpira wetu

Ni ujinga tena ujinga mkubwa kabisa,tubaki kwenye mpira.

451B1F56-1A0C-48B1-873E-86DAB132CA99.jpeg
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Inatakiwa Kuifahamu Yanga Kabila Ya Kuishabikia Hii Ni Timu Ambayo Huwezi Kuitenganisha Na Ccm Ndiyo Maana Hata Rangi Zao Zinafanana Ccm inatumia Rangi*Aina Tatu Kijani Njano Na Nyeusi Hali Kadhalika Hizo Ndiyo Rangi Rasmi Za Timu Yetu Ya Yanga
 
  • Like
Reactions: Zawadi

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Kiukwel hapa inakera ila naamin Yanga inahitaji mashabiki uwanjan kwa faida ya club kuna mambo mengine me naona tunayafanya yanakuwa makubwa sana na tunawapa time hawa chama cha mambuzi hapa sioni kama Yanga alikuwa anaweza kulikataa hili kwa namna lilivyo kwa maon yangu lakin
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Wakati wa msoto tunapitisha bakuli serikali ilikuwa wapi kuokoa jahazi
Tuache kujipa umuhimu
Vyama vinahitaji watu ila sisi hatuhitaji vyama vya siasa