Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mo atoa billion 2 kujenga Uwanja Simba
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohamed Dewji 'Mo' amehahidi kutoa Sh2 billion kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wao mpya.

Simba inamiliki uwanja wa mazoezi Simba Mo Arena uliopo Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambao ulipunguza matumizi makubwa ya pesa ambazo walikuwa wakizitumia kukodi viwanja vya mazoezi.

Simba ilikuwa ikilipa kila siku sh 500,000 katika viwanja ambavyo walikuwa wakipenda kuvitumia kwa ajili ya mazoezi yao gharama ambazo kwa sasa zinafanya majukumu mengine.

Kupitia kurasa zake za kijamii hii leo, Mo Dewji ameandika kuwa yuko tayari kuchangia kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya ujenzi huo huku akiwataka wanasimba kumuunga mkono katika harakati hizo.

Amesema, amefikia hatua hiyo baada ya kupokea maombi mengi ya wanasimba juu ya uhitaji wa kuwa na Uwanja wao binafsi.

"Nimepokea maoni mengi ya wanasimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu, na wako tayari kuchangia ili tunafinikishe ujenzi huo, naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni yao kwa mikono miwili,"ameandika Mo katika kurasa zake za Twitter na Instagram.

[QUOTE="Mkwavinyika, post: 70, member: 7"] ALIYEKUWA Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohamed Dewji 'Mo' amehahidi kutoa Sh2 billion kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wao mpya. Simba inamiliki uwanja wa mazoezi Simba Mo Arena uliopo Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambao ulipunguza matumizi makubwa ya pesa ambazo walikuwa wakizitumia kukodi viwanja vya mazoezi. Simba ilikuwa ikilipa kila siku sh 500,000 katika viwanja ambavyo walikuwa wakipenda kuvitumia kwa ajili ya mazoezi yao gharama ambazo kwa sasa zinafanya majukumu mengine. Kupitia kurasa zake za kijamii hii leo, Mo Dewji ameandika kuwa yuko tayari kuchangia kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya ujenzi huo huku akiwataka wanasimba kumuunga mkono katika harakati hizo. Amesema, amefikia hatua hiyo baada ya kupokea maombi mengi ya wanasimba juu ya uhitaji wa kuwa na Uwanja wao binafsi. "Nimepokea maoni mengi ya wanasimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu, na wako tayari kuchangia ili tunafinikishe ujenzi huo, naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni yao kwa mikono miwili,"ameandika Mo katika kurasa zake za Twitter na Instagram. [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3651194/landscape_ratio16x9/1160/652/f837caa4d076db896f72b22bea3e1329/Cl/uwanja-pic.jpg[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mo atoa billion 2 kujenga Uwanja Simba
Top
Bottom