Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mo Dewji Tafuta STRAIKA Wa Maana Umalize Kazi Uliyoianza
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.

[QUOTE="JeniWaTandika, post: 8197, member: 2310"] Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita. Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana. Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani? Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi. Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira. Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mo Dewji Tafuta STRAIKA Wa Maana Umalize Kazi Uliyoianza
Top
Bottom