Morocco wametoka ila kiume sana

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Croatia kwenye mshindi wa tatu ajiandae sana hili mbungi la Morocco sio mchezo mpira umepigwa wamekosa tu umakini waumaliziaji kupata matokeo….

Hongera Morocco kwa pambano hili la ajabu kwa Kombe la Dunia lisiloaminika na la kihistoria walioiweka.🔥
View attachment 864
Match yao na Croatia itakua bonge la game
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Croatia kwenye mshindi wa tatu ajiandae sana hili mbungi la Morocco sio mchezo mpira umepigwa wamekosa tu umakini waumaliziaji kupata matokeo….

Hongera Morocco kwa pambano hili la ajabu kwa Kombe la Dunia lisiloaminika na la kihistoria walioiweka.🔥
View attachment 864
Hawa ushindi wa tatu Croatia akikaa vibaya anapigwa nyingi sana
 
Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Croatia kwenye mshindi wa tatu ajiandae sana hili mbungi la Morocco sio mchezo mpira umepigwa wamekosa tu umakini waumaliziaji kupata matokeo….

Hongera Morocco kwa pambano hili la ajabu kwa Kombe la Dunia lisiloaminika na la kihistoria walioiweka.🔥
View attachment 864
Ila Morocco waliupiga mwingi sana tatizo ni kukosa wauwaji tu pale mbele
 
sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Croatia kwenye mshindi wa tatu ajiandae sana hili mbungi la Morocco sio mchezo mpira umepigwa wamekosa tu umakini waumaliziaji kupata matokeo….

Hongera Morocco kwa pambano hili la ajabu kwa Kombe la Dunia lisiloaminika na la kihistoria walioiweka.🔥
View attachment 864
Mistake walizofanya jana france wasifanye kwa Messi hata kwa bahat mbaya