Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mpira ni zaidi ya hamasa za viongozi nje ya uwanja
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nimetoka kutazama mechi ya Al Alhly dhidi ya Mamelod Sundown, mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

Nikiwa naangalia hii mechi yenye hadhi ya fainali ghafla nikakumbuka kwamba hii ndo michuano wanayoshiriki Simba pia.

Simba ambao wao wamewekeza zaidi kwenye hamasa za nje ya uwanja huku wakiwa wamesahau kwamba timu yao inahitaji quality players ili kushindana na miamba kama Mamelod, Al Ahly, Wydad, Raja na Petro de Luanda.

Ukiangalia wenzetu wamewekeza zaidi ndani ya pitch, kuleta wachezaji wenye ubora mkubwa na sio propaganda za viongozi nje ya uwanja.

Mamelod Sundown yupo ugenini lakini anamiliki mpira kama kawaida, anamshambulia Al Ahly bila kuhofia yupo ugenini, hii yote ni vile wamejipanga zaidi ndani ya uwanja.

Lakini timu za hapa kwetu Simba na Yanga wao utawasikia malengo yetu kufika nusu fainali lakini Ukiangalia nini wamewekeza kwenye timu hakuna zaidi ya maneno ya propaganda, THAT'S A SHAME

Mpira hauchezwi mdomoni, tuchukue case study ya mchezo wa leo kati ya Mamelod dhidi ya Al Alhly, alafu rudi kwenye timu yako jaribu kupima mzani, utakuja kugundua bado tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi. [ATTACH=full]1299[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3457, member: 622"] Nimetoka kutazama mechi ya Al Alhly dhidi ya Mamelod Sundown, mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2. Nikiwa naangalia hii mechi yenye hadhi ya fainali ghafla nikakumbuka kwamba hii ndo michuano wanayoshiriki Simba pia. Simba ambao wao wamewekeza zaidi kwenye hamasa za nje ya uwanja huku wakiwa wamesahau kwamba timu yao inahitaji quality players ili kushindana na miamba kama Mamelod, Al Ahly, Wydad, Raja na Petro de Luanda. Ukiangalia wenzetu wamewekeza zaidi ndani ya pitch, kuleta wachezaji wenye ubora mkubwa na sio propaganda za viongozi nje ya uwanja. Mamelod Sundown yupo ugenini lakini anamiliki mpira kama kawaida, anamshambulia Al Ahly bila kuhofia yupo ugenini, hii yote ni vile wamejipanga zaidi ndani ya uwanja. Lakini timu za hapa kwetu Simba na Yanga wao utawasikia malengo yetu kufika nusu fainali lakini Ukiangalia nini wamewekeza kwenye timu hakuna zaidi ya maneno ya propaganda, THAT'S A SHAME Mpira hauchezwi mdomoni, tuchukue case study ya mchezo wa leo kati ya Mamelod dhidi ya Al Alhly, alafu rudi kwenye timu yako jaribu kupima mzani, utakuja kugundua bado tuna safari ndefu sana kufika nchi ya ahadi. [ATTACH type="full"]1299[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mpira ni zaidi ya hamasa za viongozi nje ya uwanja
Top
Bottom