Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mpira umechezwa na timu zote kwa na hali ya juu sana.

Mchezo huu ulidhihirisha kuwa ni mechi ya derby hasa kwa ushindani uliokuwepo pamoja na ubora wa mchezo huo.

Simba Vs Azam ni moja ya mechi ya derby za Dar Es Salaam, ambazo zinavutia sana kuangalia, achilia mbali mbali matokeo yake kuwa yatakufurahisha au yasikufurahishe.

Shida sio kocha ni wachezaji mtafukuza kila siku makocha lakini ukweli usemwe hatuna wachezaji wenye viwango wengi ni goigoi wengi vipolo wengi wazee igeni mfano wa Raja nowadays mpira ni wa vijana sajilini wachezaji wenye viwango muone kama Robertinyo hajafanya vizuri!!

Naomba mniulizie kwa kocha kwani Phiri ana tatizo gani hadi achezi na bocco ana ubora gani hadi anaanza???mchezaji mwenye goli 10 unamuacha nje kweliiiiiiiii...Nyie hamtutakii mema mashabiki na ipo siku mtaingia uwanjani peke yenu hakuna shabiki atakayekuja kuwasapoti

[QUOTE="Mgunda Zone, post: 3390, member: 474"] Mpira umechezwa na timu zote kwa na hali ya juu sana. Mchezo huu ulidhihirisha kuwa ni mechi ya derby hasa kwa ushindani uliokuwepo pamoja na ubora wa mchezo huo. Simba Vs Azam ni moja ya mechi ya derby za Dar Es Salaam, ambazo zinavutia sana kuangalia, achilia mbali mbali matokeo yake kuwa yatakufurahisha au yasikufurahishe. Shida sio kocha ni wachezaji mtafukuza kila siku makocha lakini ukweli usemwe hatuna wachezaji wenye viwango wengi ni goigoi wengi vipolo wengi wazee igeni mfano wa Raja nowadays mpira ni wa vijana sajilini wachezaji wenye viwango muone kama Robertinyo hajafanya vizuri!! Naomba mniulizie kwa kocha kwani Phiri ana tatizo gani hadi achezi na bocco ana ubora gani hadi anaanza???mchezaji mwenye goli 10 unamuacha nje kweliiiiiiiii...Nyie hamtutakii mema mashabiki na ipo siku mtaingia uwanjani peke yenu hakuna shabiki atakayekuja kuwasapoti [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mpira umechezwa na timu zote kwa ari na hali ya juu sana.
Top
Bottom