Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mputu atundika Daluga rasmi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kiungo mkongwe wa klabu ya Tp Mazembe Tresor Mputu ametangaza rasmi kuachana na mpira wa miguu baada ya kucheza kwa mafanikio makubwa ndani ya klabu hiyo na timu yake ya taifa DR Congo .

Kiungo huyo fundi mwenye miaka 37 alishawahi kwenda kufanya majaribio ndani ya kikosi cha Arsenal lakini aliamua kurejea tena Mazembe, kwasababu aliamini hakuna klabu bora duniani kuzidi Tp Mazembe inayopatikana jiji la Lumumbashi.

Mafanikio yake makubwa aliyopata ni pamoja na;

2x CAF champions league

2x CAF super cup

1x CAF confederation cup

Mfungaji bora wa muda wote wa CAFCL akifungana na Mohamed Aboutrika wa Al Alhly

2007 CAF champions league top scorer

2009 African Nations championship player of the Tournament.

[ATTACH=full]1191[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3252, member: 622"] Kiungo mkongwe wa klabu ya Tp Mazembe Tresor Mputu ametangaza rasmi kuachana na mpira wa miguu baada ya kucheza kwa mafanikio makubwa ndani ya klabu hiyo na timu yake ya taifa DR Congo 🇨🇩. Kiungo huyo fundi mwenye miaka 37 alishawahi kwenda kufanya majaribio ndani ya kikosi cha Arsenal lakini aliamua kurejea tena Mazembe, kwasababu aliamini hakuna klabu bora duniani kuzidi Tp Mazembe inayopatikana jiji la Lumumbashi. Mafanikio yake makubwa aliyopata ni pamoja na; 2x CAF champions league 2x CAF super cup 1x CAF confederation cup Mfungaji bora wa muda wote wa CAFCL akifungana na Mohamed Aboutrika wa Al Alhly 2007 CAF champions league top scorer 2009 African Nations championship player of the Tournament. [ATTACH type="full"]1191[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Mputu atundika Daluga rasmi
Top
Bottom