Msimamo wa ligi kuu baada ya mechi za jana (NBC)

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
FhyMIKXXkAA1B02.jpg

Yanga anarudi nafasi ya kwanza baada ya kumchapa Singida Big Stars goli 4-1 akiwa na pointi 26 kwa mechi 10 huku anaemfatia ni Azam akiwa na pointi hizo hizo 26 kwa michezo 12.