Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mtibwa, Polisi kuamua krismasi leo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

LEO kwenye Uwanja wa Gairo Morogoro, Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania zitakuwa zikichuana kutafuta matokeo ambayo yatazifanya kula sikukuu ya Krismasi bila mawazo.

Hiyo ni kutokana na pointi za timu hizo mbili na nafasi zilipo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ambapo Polisi ipo nafasi ya nne na alama 15 ikihitaji ushindi ili kufikisha pointi 18 na kula Krismasi ikiwa nafasi ya tatu.

Hivyo hivyo, Mtibwa iliyoko mkiani na alama sita, itaingia uwanjani kutafuta ushindi ambao utaifanya ifikishe pointi tisa na kupanda hadi nafasi ya 11 na kula Krismasi bila ‘stresi’ za kushuka daraja.

Hayo yote yataamuliwa baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika na makocha wa timu zote mbili wameeleza kujipanga kuondoka na ushindi.

Kocha msaidizi wa Mtibwa, Awadh Maniche alisema wameandaa vizuri kikosi wakitarajia ushindi.

“Tunatambua ubora wa wapinzani wetu, tumeandaa vizuri kikosi na tupo tayari kwenda uwanjani kutafuta ushindi muhimu kesho (leo),” alisema Maniche.

Naye Malale Hamsini wa Polisi alisema kuwa timu ipo Morogoro tangu juzi na hiyo ni katika kuonyesha ni namna gani wamejipanga kushinda mechi hiyo.

“Tulifika Morogoro mapema baada ya mechi na Dodoma Jiji, tumefanya mazoezi mepesi na sasa tupo tayari kuwakabili Mtibwa,” alisema Malale.

Michezo miwili iliyopita ya ligi Mtibwa ilishinda moja dhidi ya Biashara (2-0) na kutoa suluhu dhidi ya KMC, huku Polisi ikishinda 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons na sare 1-1, dhidi ya Dodoma Jiji.

[QUOTE="mhindi, post: 147, member: 3"] LEO kwenye Uwanja wa Gairo Morogoro, Mtibwa Sugar na Polisi Tanzania zitakuwa zikichuana kutafuta matokeo ambayo yatazifanya kula sikukuu ya Krismasi bila mawazo. Hiyo ni kutokana na pointi za timu hizo mbili na nafasi zilipo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ambapo Polisi ipo nafasi ya nne na alama 15 ikihitaji ushindi ili kufikisha pointi 18 na kula Krismasi ikiwa nafasi ya tatu. Hivyo hivyo, Mtibwa iliyoko mkiani na alama sita, itaingia uwanjani kutafuta ushindi ambao utaifanya ifikishe pointi tisa na kupanda hadi nafasi ya 11 na kula Krismasi bila ‘stresi’ za kushuka daraja. Hayo yote yataamuliwa baada ya dakika 90 za mchezo huo kumalizika na makocha wa timu zote mbili wameeleza kujipanga kuondoka na ushindi. Kocha msaidizi wa Mtibwa, Awadh Maniche alisema wameandaa vizuri kikosi wakitarajia ushindi. “Tunatambua ubora wa wapinzani wetu, tumeandaa vizuri kikosi na tupo tayari kwenda uwanjani kutafuta ushindi muhimu kesho (leo),” alisema Maniche. Naye Malale Hamsini wa Polisi alisema kuwa timu ipo Morogoro tangu juzi na hiyo ni katika kuonyesha ni namna gani wamejipanga kushinda mechi hiyo. “Tulifika Morogoro mapema baada ya mechi na Dodoma Jiji, tumefanya mazoezi mepesi na sasa tupo tayari kuwakabili Mtibwa,” alisema Malale. Michezo miwili iliyopita ya ligi Mtibwa ilishinda moja dhidi ya Biashara (2-0) na kutoa suluhu dhidi ya KMC, huku Polisi ikishinda 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons na sare 1-1, dhidi ya Dodoma Jiji. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mtibwa, Polisi kuamua krismasi leo
Top
Bottom