Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Muenendo wa Hisa za Bank ya CRDB
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mnamo 15 Dis 2021 Benki ya CRDB PLC ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MOU) na washirika weke kibiashara NorFund kutoka Norway na IFU kutoka Denmark kufungua kampuni tanzu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika hafla iliyofanyika katika Hoteli Fleuve De Congo, Jijini Kinshasa.

Kuanzishwa kwa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB DRC ni mwendelezo wa mkakati wa Benki hiyo kubwa nchini katika kujitanua nchi za Afrira Mashariki na zilizo Kusini mwa Afrika. CRDB Congo inatarajiwa kuanza kutoa huduma zake nchini humo ifikapo mwezi Mei 2022.

Tayari CRDB Bank PLC ipo Burundi, na inaendelea kutanua wigo wa huduma zake katika Ukanda huu, DRC kwasasa ina wakazi wanaokadiriwa kufikia 80mln mwaka 2020.

CRDB Bank ilijirodhesha kunako Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) mwaka 2009 ni imekuwa ni kampuni inayofanya vizuri sokoni na kuvutia wawekezaji, vilevile ni kampuni ambayo faida yake imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka.

Kwasasa hisa moja ya CRDB inauzwa TZS 260, mnamo 31 Disemba 2019 hisa moja ya Benki hiyo ilikuwa inauzwa TZS 95 lakini kutokana na kufanya vizuri imekuwa ikipanda siku hadi siku. Kufikia 30 Septemba 2021, CRDB ilikuwa imepata faida ya TZS 167 bln huku robo ya mwisho ya mwaka ikitegemewa kufanya vizuri.

[QUOTE="Muwekezaji, post: 105, member: 21"] Mnamo 15 Dis 2021 Benki ya CRDB PLC ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MOU) na washirika weke kibiashara NorFund kutoka Norway na IFU kutoka Denmark kufungua kampuni tanzu katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika hafla iliyofanyika katika Hoteli Fleuve De Congo, Jijini Kinshasa. Kuanzishwa kwa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB DRC ni mwendelezo wa mkakati wa Benki hiyo kubwa nchini katika kujitanua nchi za Afrira Mashariki na zilizo Kusini mwa Afrika. CRDB Congo inatarajiwa kuanza kutoa huduma zake nchini humo ifikapo mwezi Mei 2022. Tayari CRDB Bank PLC ipo Burundi, na inaendelea kutanua wigo wa huduma zake katika Ukanda huu, DRC kwasasa ina wakazi wanaokadiriwa kufikia 80mln mwaka 2020. CRDB Bank ilijirodhesha kunako Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) mwaka 2009 ni imekuwa ni kampuni inayofanya vizuri sokoni na kuvutia wawekezaji, vilevile ni kampuni ambayo faida yake imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Kwasasa hisa moja ya CRDB inauzwa TZS 260, mnamo 31 Disemba 2019 hisa moja ya Benki hiyo ilikuwa inauzwa TZS 95 lakini kutokana na kufanya vizuri imekuwa ikipanda siku hadi siku. Kufikia 30 Septemba 2021, CRDB ilikuwa imepata faida ya TZS 167 bln huku robo ya mwisho ya mwaka ikitegemewa kufanya vizuri. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Uwekezaji
Kijiwe cha Hisa na Hati fungani za serikali
Muenendo wa Hisa za Bank ya CRDB
Top
Bottom